Monday, July 15, 2013

VIJANA WAONYESHANA KAZI EPIQ BSS MWANZA

Mshiriki wa shindano la Epiq Bongo Star Search akionyesha machejo nje ya ukumbi kabla ya kuingia kutupa karata yake mbele ya majaji wakati wa mchujo wa shindano hilo kwenye ukumbi wa Fussion mjini Mwanza mwishoni mwa wiki.

Washiriki wa shindano la Epiq Bongo Star Search wakiimba nje ya ukumbi kabla ya kuingia kutupa karata zao mbele ya majaji wakati wa mchujo wa shindano hilo kwenye ukumbi wa Fussion mjini Mwanza mwishoni mwa wiki.

Mshiriki wa shindano la Epiq Bongo Star Search akiimba na kupiga gita mbele ya majaji wakati wa mchujo wa shindano hilo kwenye ukumbi wa Fussion mjini Mwanza mwishoni mwa wiki.

Majaji wa shindano la Epiq Bongo Star Search wakiwa mzigoni wakati wa mchujo wa shindano hilo kwenye ukumbi wa Fussion mjini Mwanza mwishoni mwa wiki.

Mshiriki wa shindano la Epiq Bongo Star Search akiimba mbele ya majaji wakati wa mchujo wa shindano hilo kwenye ukumbi wa Fussion mjini Mwanza mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment