Monday, October 29, 2012

TAZAMA MAPICHA KIBAO YA HARUSI YA MTANGAZAJI ARNOLD KAYANDA WA KIPINDI CHA JAHAZI REDIO YA CLOUDS FM... NI KWENYE UKUMBI WA KARIMJEE JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA JANA... MC ALIKUWA MZEE WA 'SALAM ALEKO' EPHRAIM KIBONDE

Pendedhaaa eeenh! Kayanda akiwa na 'mai waifu' wake Aneth.
Hapa mharusi wakikata keki

Vikorombwezo

Wakilishana keki


Twenzetu....! Maharusi wakiingia ukumbini.

Wakipokewa ukumbini na MC wa shughuli hiyo, 'Mzee wa Salam Aleko' Ephraim Kibonde

Hapa wakiwakabidhi keki wazazi.MC wa shughuli hiyo, 'Mzee wa Salam Aleko' Ephraim Kibonde akifanya vitu vyake.

Tamuuuu...!

Wapambe wa biharusi Aneth

Kayanda na 'mai wafiu' wake Aneth wakiingia ukumbini (PICHA ZOTE KWA HISANI YA: issamichuzi.blogspot.com)
Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi cha redio ya Clouds FM, Arnold Kayanda aliuaga ukapera juzi baada ya kufunga ndoa na mchumba wake wa 'long taim kitambo' aitwaye Aneth na kisha kufuatiwa na 'mnuso' bab'kubwa kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.

Sherehe za harusi hiyo zilipambwa na burudani mbalimbali, huku aliyesisimua zaidi ukumbini akiwa ni mtangazaji mwingine wa kipindi cha Jahazi, Ephraim Kibonde a.k.a Mzee wa Salam Aleko.

Straika inampa 'big up' za kumwaga Kayanda na kumtakia kheri na fanaka katika maisha yake mapya ya ndoa!

No comments:

Post a Comment