Tuesday, January 22, 2013

PATA RATIBA YA MZUNGUKO WA PILI WA LIGI KUU YA TANZANIA BARA INAYOANZA JUMAMOSI... DARAJA LA KWANZA BARA NAYO KUANZA WIKI IJAYO FEBRUARI 2

Simba, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 
Wakati mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara unaanza Jumamosi (Januari 22 mwaka huu), mzunguko wa pili wa Ligi Daraja la Kwanza (FDL) umesogezwa mbele kwa wiki moja ambapo sasa utaanza Februari 2 mwaka huu.

Uamuzi wa VPL kuendelea Januari 26 mwaka huu ulifikiwa katika kikao cha Kamati ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na klabu za ligi hiyo kilichofanyika jana (Januari 21 ) jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo, uamuzi huo umefikiwa huku yakiwapo masharti kadhaa kutokana na uamuzi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kukamata sh. milioni 157 kwenye akaunti za TFF, fedha ambazo zilitoka kwa mdhamini wa VPL (Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom) kwa ajili ya timu zinazoshiriki ligi hiyo.

Masharti hayo yatawasilishwa na Kamati ya Ligi kwa maandishi kwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), nakala kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo. Awali klabu kupitia Kamati ya Ligi zilisisitiza zisingecheza ligi hadi fedha hizo zitakaporejeshwa.

Ligi Daraja la Kwanza (FDL), itaanza bila timu ya Small Kids ya Rukwa ambayo imeshushwa daraja kwa mujibu wa kanuni baada ya kushindwa kucheza mechi mbili katika mzunguko wa kwanza.

Kwa mujibu wa kanuni za ligi hiyo, matokeo yote ya mechi ambazo Small Kids ilicheza katika mzunguko huo wa kwanza yamefutwa.


RATIBA MZUNGUKO WA PILI LIGI KUU TANZANIA BARA 



























































SECOND ROUND TANZANIA PREMIER LEAGUE






VODACOM PREMIER LEAGUE (VPL) FIXTURE 2012/2013






26TH JAN. 2013 - 18th MAY, 2013.






NO
DATE
No.
HOME TEAM
AWAY TEAM
STADIUM
VENUE






14
26. 01. 2013.
92
AFRICAN LYON FC
SIMBA SC
NATIOANAL STADIUM
DAR ES SALAAM







26. 01. 2013.
95
MTIBWA SUGAR FC
POLISI MOROGORO
Manungu
MOROGORO







27. 01. 2013.
94
YOUNG AFRICANS
TANZANIA PRISONS
NATIOANAL STADIUM
DAR ES SALAAM







26. 01. 2013.
95
COASTAL UNION
MGAMBO JKT
Mkwakwani
TANGA







26. 01. 2013.
96
RUVU SHOOTING
JKT RUVU
Mabatini
PWANI







26. 01. 2013.
97
AZAM FC
KAGERA SUGAR
AZAM COMPLEX
DAR ES SALAAM







26. 01. 2013.
98
JKT OLJORO
TOTO AFRICANS
Sh. Amri Abeid
ARUSHA













15
03.02.2013.
99
SIMBA SC
JKT RUVU
NATIOANAL STADIUM
DAR ES SALAAM







02.02.2013.
100
YOUNG AFRICANS
MTIBWA SUGAR FC FC
NATIOANAL STADIUM
DAR ES SALAAM







02.02.2013.
101
POLISI MOROGORO
AFRICAN LYON FC
Jamhuri
MOROGORO







02.02.2013.
102
MGAMBO JKT
RUVU SHOOTINGS
Mkwakwani
TANGA







03.02.2013.
103
COASTAL UNION
TANZANIA PRISONS
Mkwakwani
TANGA







30.01.2013.
104
JKT OLJORO
KAGERA SUGAR
Sh. Amri Abeid
ARUSHA







30.01.2013.
105
AZAM FC
TOTO AFRICANS
AZAM COMPLEX
DAR ES SALAAM






6/2 /2013 FIFA DATE FOR FRIEND MATCH






16
21.04.2013.
106
JKT RUVU
YOUNG AFRICANS
NATIOANAL STADIUM
DAR ES SALAAM







09.02.2013.
107
MTIBWA SUGAR FC
AZAM FC
AZAM COMPLEX
DAR ES SALAAM







02.03.2013.
108
POLISI MOROGORO
JKT OLJORO
JAMHURI
MOROGORO







09.02.2013.
109
TOTO AFRICANS
COASTAL UNION
CCM Kirumba
MWANZA







09.02.2013.
110
KAGERA SUGAR
MGAMBO JKT
Kaitaba
KAGERA







25.04.2013.
111
RUVU SHOOTINGS
SIMBA SC
NATIOANAL STADIUM
DAR ES SALAAM







09.02.2013.
112
TANZANIA PRISONS
AFRICAN LYON FC
SOKOINE
MBEYA






15 - 17. FEB. 2012 PRELIMINARY CL & CC FIRST LEG






17
13.02.2013.
113
KAGERA SUGAR
COASTAL UNION
Kaitaba
KAGERA







20.02.2013.
114
JKT RUVU
AZAM FC
AZAM COMPLEX
DAR ES SALAAM







13.02.2013.
115
TOTO AFRICANS
POLISI MOROGORO
CCM KIRUMBA
MWANZA







13.02.2013.
116
MGAMBO JKT
JKT OLJORO
MKWAKWANI
TANGA







13.02.2013.
117
MTIBWA SUGAR FC
RUVU SHOOTING
MANUNGU
MOROGORO







20.02.2013.
118
TANZANIA PRISONS
SIMBA SC
SOKOINE
MBEYA







13.02.2013.
119
AFRICAN LYON FC
YOUNG AFRICANS
NATIONAL STADIUM
DAR ES SALAAM













18
23.02.2013.
120
YOUNG AFRICANS
AZAM FC
NATIOANAL STADIUM
DAR ES SALAAM







24.02.2013.
121
SIMBA SC
MTIBWA SUGAR FC
NATIOANAL STADIUM
DAR ES SALAAM







20.02.2013.
122
COASTAL UNION
JKT OLJORO
Mkwakwani
TANGA







20.02.2013.
123
TOTO AFRICANS
AFRICAN LYON FC
CCM KIRUMBA
MWANZA







11.05.2013.
124
KAGERA SUGAR
RUVU SHOOTINGS
Kaitaba
KAGERA







23.02.2013.
125
MGAMBO JKT
JKT RUVU
Mkwakwani
TANGA







23.02.2013.
126
TANZANIA PRISONS
POLISI MOROGORO
SOKOINE
MBEYA













NO
DATE
No.
HOME TEAM
AWAY TEAM
STADIUM
VENUE







01 - 03. MARCH. 2013 PRELIMINARY CL & CC SECOND LEG







19
10.04.2013.
127
AZAM FC
AFRICAN LYON FC
AZAM COMPLEX
DAR ES SALAAM







27.02.2013.
128
COASTAL UNION
RUVU SHOOTING 
MKWAKWANI
TANGA







09.02.2013.
129
JKT OLJORO
SIMBA SC
Sh. Amri Abeid
ARUSHA







27.02.2013.
130
YOUNG AFRICANS
KAGERA SUGAR
NATIOANAL STADIUM
DAR ES SALAAM







27.02.2013.
131
POLISI MOROGORO
MGAMBO JKT
JAMHURI
MOROGORO







27.02.2013.
132
JKT RUVU
TOTO AFRICANS
AZAM COMPLEX
DAR ES SALAAM







27.02.2013.
133
MTIBWA SUGAR FC
TANZANIA PRISONS
MANUNGU
MOROGORO













20
07.03.2013.
134
JKT RUVU
KAGERA SUGAR
AZAM COMPLEX
DAR ES SALAAM







09.03.2013.
135
YOUNG AFRICANS
TOTO AFRICANS
NATIOANAL STADIUM
DAR ES SALAAM







09.03.2013.
136
AZAM FC
POLISI MOROGORO
AZAM COMPLEX
DAR ES SALAAM







06.03.2013.
137
JKT OLJORO
TANZANIA PRISONS
Sh. Amri Abeid
ARUSHA







10.03.2013.
138
SIMBA SC
COASTAL UNION
NATIOANAL STADIUM
DAR ES SALAAM







06.03.2013.
139
AFRICAN LYON FC
RUVU SHOOTINGS
AZAM COMPLEX
DAR ES SALAAM







06.03.2013.
140
MGAMBO JKT
MTIBWA SUGAR FC FC
MKWAKWANI
TANGA






15/3 - 17/3/2013 1/16 CL & CC FIRST LEAGUE






21
27.03.2013.
141
AZAM FC
TANZANIA PRISONS
AZAM COMPLEX
DAR ES SALAAM







17.03.2013.
142
JKT RUVU
POLISI MOROGORO
AZAM COMPLEX
DAR ES SALAAM







27.03.2013.
143
KAGERA SUGAR
SIMBA SC
Kaitaba
KAGERA







16.03.2013.
144
TOTO AFRICANS
MGAMBO JKT
CCM KIRUMBA
MWANZA







18.03.2013.
145
AFRICANS LYON
JKT OLJORO
AZAM COMPLEX
DAR ES SALAAM







16.03.2013.
146
RUVU SHOOTINGS
YOUNG AFRICANS
NATIOANAL STADIUM
DAR ES SALAAM







16.03.2013.
147
MTIBWA SUGAR FC
COASTAL UNION
MANUNGU
DAR ES SALAAM







22 - 24. MARCH. 2013. WC QUALIFIER BRAZIL - 2014







22
30.03.2013.
148
JKT OLJORO
JKT RUVU
SH. AMRI ABEID
ARUSHA







08.05.2013.
149
SIMBA SC
MGAMBO JKT
NATIOANAL STADIUM
DAR ES SALAAM







03.04.2013.
150
TOTO AFRICANS
TANZANIA PRISONS
CCM KIRUMBA
MWANZA







30.03.2013.
151
RUVU SHOOTINGS
AZAM FC
MABATINI
PWANI







30.03.2013.
152
AFRICAN LYON FC
COASTAL UNION
AZAM COMPLEX
KAGERA







30.03.2013.
153
POLISI MOROGORO
YOUNG AFRICANS
JAMHURI
MOROGORO







30.03.2013.
154
KAGERA SUGAR
MTIBWA SUGAR FC FC
Kaitaba
KAGERA






05 - 06 APRIL. 2013. 1/16TH CL & CC SECOND LEG






23
13.04.2013.
155
AZAM FC
SIMBA SC
NATIOANAL STADIUM
DAR ES SALAAM







10.04.2013.
156
YOUNG AFRICANS
JKT OLJORO
NATIOANAL STADIUM
DAR ES SALAAM







23.03.2013.
157
KAGERA SUGAR
AFRICAN LYON FC
Kaitaba
KAGERA







10.04.2013.
158
TANZANIA PRISONS
MGAMBO JKT
SOKOINE
MBEYA







10.04.2013.
159
POLISI MOROGORO
RUVU SHOOTINGS
JAMHURI
MOROGORO







10.04.2013.
160
COASTAL UNION
JKT RUVU
MKWAKWANI
TANGA







10.04.2013.
161
MTIBWA SUGAR FC
TOTO AFRICANS
MANUNGU
MOROGORO






19 - 21 APRIL. 2013.  1/8TH FINAL CL & CC FIRST LEG






24
13.04.2013.
162
MGAMBO JKT
YOUNG AFRICANS
MKWAKWANI
TANGA







28.04.2013.
163
SIMBA SC
POLISI MOROGORO
NATIOANAL STADIUM
DAR ES SALAAM







17.04.2013.
164
KAGERA SUGAR
TOTO AFRICANS
Kaitaba
KAGERA







17.04.2013.
165
AFRICAN LYON FC
JKT RUVU
AZAM COMPLEX
DAR ES SALAAM







13.04.2013.
166
MTIBWA SUGAR FC
JKT OLJORO
MANUNGU
MOROGORO







13.04.2013.
167
TANZANIA PRISONS
RUVU SHOOTINGS
SOKOINE
MBEYA







27.04.2013.
168
COASTAL UNION
AZAM FC
MKWAKWANI
TANGA













































03 - 05. MAY. 2013.  1/8TH FINAL CL & CC SECOND LEG






NO
DATE
No.
HOME TEAM
AWAY TEAM
STADIUM
VENUE






25
11.05.2013.
169
AZAM FC
MGAMBO JKT
AZAM COMPLEX
DAR ES SALAAM







01.05.2013.
170
MTIBWA
AFRICAN LYON FC
MANUNGU
MOROGORO







30.03.2013.
171
TOTO AFRICANS
SIMBA SC
CCM KIRUMBA
MWANZA







01.05.2013.
172
YOUNG AFRICANS
COASTAL UNION
Mkwakwani
TANGA







01.05.2013.
173
JKT RUVU
TANZANIA PRISONS
AZAM COMPLEX
DAR ES SALAAM







01.05.2013.
174
POLISI MOROGORO
KAGERA SUGAR
JAMHURI
MOROGORO







01.05.2013.
175
RUVU SHOOTINGS
JKT OLJORO
MABATINI
PWANI













26
18.05.2013.
176
TOTO AFRICANS
RUVU SHOOTINGS
CCM KIRUMBA
MWANZA







18.05.2013.
177
MGAMBO JKT
AFRICAN LYON FC
Mkwakwani
TANGA







18.05.2013.
178
JKT RUVU
MTIBWA SUGAR FC FC
AZAM COMPLEX
DAR ES SALAAM







18.05.2013.
179
TANZANIA PRISONS
KAGERA SUGAR
SOKOINE
MBEYA







18.05.2013.
180
SIMBA SC
YOUNG AFRICANS
NATIONAL STADIUM
DAR ES SALAAM







18.05.2013.
181
JKT OLJORO
AZAM FC
SH. AMRI ABEID
ARUSHA







18.05.2013.
182
POLISI MOROGORO
COASTAL UNION
Jamhuri
MOROGORO
































* Endapo timu za Simba SC na Azam FC hazitafanikiwa kuvuka hatua mojawapo ya mashindano ya CL &






CC Orange 2013 ratiba itafanyiwa marekebisho.



















No comments:

Post a Comment