Friday, May 3, 2013

LILIVYOKUWA TAMASHA LA CHEKA NAO NA VODACOM

Nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Juma Nature akiwapagawisha mashabiki waliofurika katika ufukwe wa Coco Beach wakati wa Tamasha la Cheka Nao lilioandaliwa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi juzi  jijini Dar es Salaam.

Mwimbaji wa bendi ya muziki wa dansi ya Msondo Ngoma 'Baba ya Muziki', Roman Mng'ande a.k.a Romario, akiwaongoza waimbaji wenzake wakati wa Tamasha la Cheka Nao lilioandaliwa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi juzi  jijini Dar es Salaam.

Wasanii wa kikundi cha wakali wa dansi wakionyesha uwezo wao wakati wa Tamasha la Cheka Nao lilioandaliwa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi juzi  jijini Dar es Salaam.

Msanii anayechipukia wa kizazi kipya, Dogo Lila, kutoka katika kundi la TMK Wanaume Halisi akionyesha umahiri wake wakati wa Tamasha la Cheka Nao lilioandaliwa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya kusherehekea Sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi juzi  jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment