Tuesday, May 28, 2013

JEZI YA NEYMAR YAANZA KUGOMBEWA BARCELONA

Mashabiki wakishikilia jezi mshambuliaji mpya Neymar. Barca itavaa jezi hizo mpya katika msimu ujao

Duka la Barcelona tayari limeanza kuuza jezi Neymar, licha ya kwamba Mbrazil huyo hajatambulishwa.
Namba iliyochaguliwa na mashabiki 11, ambayo ilikuwa ikivaliwa na Neymar klabuni Santos na ambayo klabuni Barcelona hivi sasa inavaliwa na Thiago Alcantara, ambaye anasemekana yuko katika orodha ya watakaohama huku akiwindwa na Manchester United.

No comments:

Post a Comment