Monday, April 15, 2013

MTAZAME MTOTO WA LIONEL MESSI KWA MARA YA KWANZA AKIMWAGA CHEKO NA WAZAZI WAKE

BARCELONA, Hispania
Hatimaye Lionel Messi amemtambulisha rasmi mtoto wake wa kiume kwa mashabiki kufuatia picha yake yenye pozi kali waliyopiga yeye (Messi), mtoto huyo aitwaye Thiago na mama wa mtoto wake, Antonella Roccuzzo.

Hii ni mara ya kwanza kwa nyota huyo wa Barcelona anayeshikilia tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Dunia kwa mwaka wa nne mfululizo kuonyesha sura ya mwanawe kwa mashabiki... hebu icheki freshi. Wamefanana eeenh!

No comments:

Post a Comment