Sunday, April 14, 2013

ANGALIA HII FASHENI YA UCHOKOZI YA RIHANNA WAKATI AKIFANYA MANUNUZI


RIHANNA alifanya "window shopping" na kuingia katika maduka kadhaa wakati akiwa matembezini mjini Beverly Hills, California.

Huku akiwa ameambatana na shostito wake Melissa Forde, nyota huyo wa muziki alionekana akiwa amependeza kinoma katika vazi lake la jeans -- shati na sketi fupi, ambayo imetobolewa kwa nyuma ili kuwatega watu.

Rihanna kwa sasa yuko katikati ya ziara yake ya Diamonds ambayo itamalizika Oktoba.No comments:

Post a Comment