
Getty Images
Hakika, tamasha la 55 la Grammy lilikuwa ni tuzo, mastaa kukiuka onyo lile la kutovaa nguo za utata na kimwana Taylor Swift kucheza kama binti shabiki aliyepagawa. Lakini pia kulikuwa na wapendanao waliofika wakiwa wameambatana na wenza wao. Hapa tunakuletea wapendanao waliokuwa gumzo katika tuzo za Grammy 2013 zilizofanyika usiku wa kuamkia jana.
Beyonce na Jay-Z

John Mayer na Katy Perry

Carly Rae Jepsen na Matthew Koma

Ellen DeGeneres na Portia de Rossi

Rihanna na Chris Brown

Justin Timberlake na Jessica Biel

Kelly Clarkson na Brandon Blackstock

Eric Church na Katherine Blasingame

Kat Dennings na Nick Zano

Ne-Yo na Monyetta Shaw

Pharrell na Helen Lasichanh

Dierks Bentley na Cassidy Black

Jack Osbourne na Lisa Stelly

Alicia Keys na Swizz Beatz

Jennifer Lopez na Casper Smart

John Legend na Chrissy Teigen

Sting na Trudy Snyder

Wiz Khalifa na Amber Rose

LL Cool J na Simone Johnson

Kat Von D na Deadmau5

Nicole Kidman na Keith Urban

Jenna Jameson na Tito Ortiz

Faith Hill na Tim McGraw

Lena Dunham na Jack Antonoff

(Images via Bauer Griffin, Getty)
No comments:
Post a Comment