Wednesday, February 6, 2013

TAZAMA PICHA ILIYOPOSTIWA KWA MARA YA KWANZA YA MTOTO WA SHAKIRA NA GERARD PIQUE WA BARCELONA

Mmmmmmwaaaaa....! Picha ya Pique akimshumu mtoto wake na Shakira.
Shakira and Piqué wameiachia kwa mara ya kwanza picha ya mtoto wao wa kiume aitwaye Milan kupitia tovuti ya shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia watoto (Unicef).

Picha hiyo inamuonyesha Pique 'akimshumu' mtoto wake huyo mchanga.

No comments:

Post a Comment