Monday, February 18, 2013

TAZAMA MAPICHA YA TUKIO LA MAZISHI YA ASKOFU THOMAS LAIZER... RAIS JAKAYA KIKWETE, MKAPA, MZEE RUKSA, EDWARD LOWASSA, MBOWE, ASKOFU MALASUSA NA REGINALD MENGI NI MIONGONI MWA VIGOGO KIBAO WALIOHUDHURIA MAZISHI YAKE....!Moja ya mabango makubwa ya kumuenzi Askofu Dk. Thomas Laizer aliyefariki Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian, Jijini Arusha likionekana nje ya Kanisa la KKKT jijini Arusha.

Jeneza la marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa akiongoza jopo la Maaskofu kuelekea kwenye eneo la Maziko ya aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha na kuzijika jioni hii kwenye eneo la nje ya kanisa hilo.
 
Mwili wa marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer ukiwasili eneo la kaburi.Maaskofu wakiongoza ibada ya maziko ya aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian, Jijini Arusha na kuzikwa  kwenye eneo la nje ya kanisa hilo.
 
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Alex Malasusa akiweka udongo kaburini
 
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Alex Malasusa akiongoza ibada ya maziko ya Dk. Laizer jijini Arusha.
Mke wa Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer,Mama Maria Laizer pamoja  na familia ya Marehemu,wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
 
Rais Jakaya Kikwete akiweka shada la maua.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati, marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian, Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika nje ya Kanisa hilo
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mhe. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliyefariki dunia Februari 7, 2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian, Jijini Arusha.
 
 
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Willim Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati, marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliyefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian, Jijini Arusha.
 
 Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mkewe Mama Sitti Mwinyi wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la  Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati, marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7, 2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian, jijini Arusha.
 
Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya CRDB,Dk. Charles Kimei na Meneja wa CRDB kanda ya Kaskazini wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini na Kati, marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian, jijini Arusha wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika nje ya Kanisa hilo.
 
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Jimbo la Hai,Mh. Freemon Mbowe akiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7, 2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian, jijini Arusha.Wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika nje ya kanisa hilo.

Waheshimiwa wabunge waliokuwepo kwenye Mazishi hayo wakielekea kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer kwa kuweka mashada ya maua.
 
Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,Dk. Reginald Mengi akiweka shada la maua kwenye Kaburi la Dk. Thomas Laizer
 
Baadhi ya wakuu wa mikoa wakiweza shada la maua kaburini.

Waheshimiwa Mawaziri na Manaibu Mawaziri pia walijumuika kwa pamoja kuweka shada la Maua kaburini hapo.

Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua kwenye Kaburi la Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian, jijini Arusha wakati wa mazishi yake yaliyofanyika nje ya kanisa hilo.
 
 Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa salamu zake kwa waombolezaji wa msiba mkubwa wa aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian, jijini Arusha katika Kanisa Kuu la KKKT jijini humo.

Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk. Reginald Mengi akitoa salamu zake.
 
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbunge wa Jimbo la Hai,Mh. Freemon Mbowe akitoa salamu zake.
 
 Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mhe. Godbless Lema akitoa salamu zake.

Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Askofu Dk. Alex Malasusa akiongoza ibada ya maalum la kumuombea Marehemu Dk. Laizer  kabla ya kwenda kwenye maziko jijini Arusha.
 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Mstaafu awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi,Rais Mstaafu awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa na Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa wakishiriki mazishi ya Askofu Dkt.Thomas Laizer iliyofanyika katika kanisa na Usharika wa mjini Kati, jijini Arusha.

Mke wa Marehemu, Mama Maria Laizer (kushoto) akiwa na waombolezaji wengine.

Kwaheri Askofu Laizer... viongozi na watu mbalimbali mashuhuri wakifuatilia ibada ya mazishi.

Viongizi wa makanisa.

Karibu mzee....! Mzee Ruksa akiwasili na kupokelewa na baadhi ya viongozi wa kanisa
.


Kwaherini....! Mzee Mkapa na Mama Mkapa wakiondoka kanisani hapo.


Mzee Mwinyi akiwaaga waombolezaji wengine.

Bye bye...! Rais Kikwete akiwaaga waombolezaji wenzake baada ya kukamilika kwa shughuli za mazishi ya Askofu Laizer..

Lowassa akisalimiana na Waombolezaji wengine.

Mhe. Mbowe akisalimiana na waombolezaji wengine

Mhe. Lowassa akizungumza na Ole Milya.

Mhe. Lowassa akiaga.
Waombolezaji wakionekana wenye majonzi tele. (Picha zote: Kwa hisani ya blog ya Libeneke la Kaskazini)

No comments:

Post a Comment