Sunday, February 10, 2013

KIM KARDASHIAN NA KANYE WEST WANAVYOKULA BATA

Nyota wa vipindi vya televisheni mjamzito Kim Kardashian akiwa amevaa gauni la pinki wakati yeye na boifrendi wake rapa Kanye West walipotembelea Sanamu ya Yesu mjini Rio De Janeiro.
 
No comments:

Post a Comment