Wednesday, January 2, 2013

ROMA ALIVYOPAGAWISHA WAKAZI WA DAR TAMASHA LA VODACOM COCO BEACH

Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Roma Mkatoliki, akiwapagawisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam, waliofika kwenye ufukwe wa bahari ya Hindi Coco Beach, katika tamasha la kuukaribisha mwaka mpya liliandaliwa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya wateja wake.

Kidole cha mwisho juu... Roma akifanya umati mzima unyanyue kidole cha mwisho juu

Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Roma Mkatoliki, akiwapagawisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam, waliofika kwenye ufukwe wa bahari ya Hindi Coco Beach, katika tamasha la kuukaribisha mwaka mpya liliandaliwa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya wateja wake.
Msanii 'underground' wa muziki wa kizazi kipya, More Dreamer, wa manzese jijini Dar es Salaam akitoa mistari yake kabla ya nyota wa hip hop nchini Roma Mkatoliki kupanda jukwani na kuwapagawisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam waliofika kwenye ufukwe wa bahari ya Hindi, Coco Beach, katika tamasha la kuukaribisha mwaka mpya liliandaliwa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya wateja wake.

Sehemu ya mashabiki waliohudhuria

Roma akiimba pamoja na mashabiki...

No comments:

Post a Comment