Wednesday, January 2, 2013

BABU WA SIMBA ALIPOSAINI MIEZI NANE

Kocha mpya wa Simba, Patrick Liewig (kushoto), akimwaga wino kuifundisha klabu hiyo kwa mkataba wa miezi minane jana. Hakusaini miezi 18 kama ilivyotangazwa na Katibu Mkuu, Evodius Mtawala juzi. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu'
Kocha mpya wa Simba, Patrick Liewig (wa pili kushoto) akipeana mkono na Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' baada ya kusaini mkataba wa kuifundisha klabu hiyo kwa miezi minane
Kaburu naye alimwaga wino kwa upande wa mwajiri


No comments:

Post a Comment