Saturday, January 26, 2013

FERGUSON: TUTAMPA RIO FERDINAND MKATABA MPYA

Rio Ferdinand

KOCHA wa Manchester United, Sir Alex Ferguson amesema Rio Ferdinand atapewa mkataba mpya.

Ferguson ana furaha kwa kiwango cha beki huyo veterani.

"Sidhani kama kuna sababu yoyote ya kwanini Rio asibaki hapa. Tunawapa wachezaji mikataba ya mwaka mmoja.

"Hakuna ubaya katika hilo. Sijui wakala wake ameomba kitu gani."

No comments:

Post a Comment