Tuesday, January 22, 2013

FABREGAS AMKASIRIKIA KOCHA TITO VILANOVA

Fabregas

CESC Fabregas alionyesha wazi fadhaa yake baada ya 'kutolewa kafara' na kocha wa Barcelona, Tito Vilanova.

Nahodha huyo wa zamani wa Arsenal alipumzishwa katika mechi mbili zilizopita na mara zote alimtazama kwa hasira Vilanova wakati akielekea benchi.

Imeelezwa kuwa tabia hiyo ya Cesc ilistukiwa na wachezaji wenzake, huku Gerard Pique akijaribu kumtuliza wakati alipobadilishwa dhidi ya Malaga.

Vilanova anamuamini sana kiungo huyo, lakini Cesc hajaficha hasira zake anapopumzishwa.

No comments:

Post a Comment