Tuesday, January 22, 2013

GERRARD AKAMIA REKODI YA BECKHAM MECHI 115 TAIFA

Steven Gerrard

STEVEN Gerrard (32) ambaye ameichezea timu yake ya taifa mechi 100, amesema malengo yake sasa ni kuifikia rekodi ya David Beckham, ambaye ameihezea timu ya taifa ya England mara 115. 


Nyota huyo wa Liverpool alisema: "Malengo yangu binafsi ni kucheza mechi nyingi kadri niwezavyo za timu ya taifa. 

"Naifukuzia rekodi ya David Beckham hivi sasa, hivyo nitajitahidi kuipiku kwa sababu yeye ni mchezaji 'spesho'."

No comments:

Post a Comment