Tuesday, December 11, 2012

PATA RATIBA ZA KOMBE LA MFALME HISPANIA, KOMBE LA CAPITAL ONE ENGLAND NA KOMBE LA ITALIA KWA SAA SAHIHI ZA KIBONGO... ARSENAL UWANJANI LEO SAA 4:45 USIKU... MESSI KUENDELEZA REKODI BARCA IKICHEZA 4:00 USIKU... REAL MADRID YA RONALDO SAA 6:00 USIKU...!


Lionel Messi
KOMBE LA MFALME

LEO, Jumanne
Osasuna         v Valencia      (saa 4:00) usiku

KESHO, Jumatano
Cordoba(II)     v Barcelona     (saa 4:00) usiku
Celta Vigo      v Real Madrid   (saa 6:00) usiku  
Athletic Bilbao v Eibar(III)    (saa 4:00) usiku 
Real Mallorca   v Sevilla       (saa 4:00) usiku
Atletico Madrid v Getafe        (saa 6:00) usiku  

KESHOKUTWA, Alhamisi
Levante         v Real Zaragoza (saa 4:00) usiku
Las Palmas(II)  v Real Betis    (saa 6:00) usiku  


KOMBE LA CAPITAL ONE
KESHO, Jumanne
Bradford City(IV) v Arsenal       (saa 4:45) usiku  
Norwich City      v Aston Villa   (saa 4:45) usiku 

KESHO, Jumatano
Swansea City      v Middlesbrough (saa 4:45) usiku 


KOMBE LA ITALIA

LEO, Jumanne
AS Roma  v Atalanta Bergamo (saa 5:00) usiku 

KESHO, Jumatano
Parma    v Catania          (saa 1:30) usiku 
Juventus v Cagliari         (saa 5:00) usiku 

KESHOKUTWA, Alhamisi
AC Milan v Reggina(II)      (saa 5:00) usiku 

No comments:

Post a Comment