Thursday, December 13, 2012

ONA JINSI DAVID BECKHAM, MKEWE VICTORIA BEKCHAM NA WANAWE WALIVYOLIPUKA WAKATI WAKIENDA UKUMBINI KUSHUHUDIA ONYESHO LA MUZIKI LA 'VIVA FOREVER' LONDON

Mwimbaji wa zamani wa Spice Girls, Victoria Beckham (kulia) na mumewe David Beckham (wa pili kushoto) akiwasili na watoto wake (kushoto kwenda kulia): Romeo, Cruz na Brooklyn kwenye onyesho la muziki la "Viva Forever!", linalotumia muziki wa Spice Girls jijini London, jana Desemba 11, 2012. (Picha: REUTERS)
Memba wa kundi la Spice Girls, Melanie Brown (kushoto-kulia), Geri Halliwell, Emma Bunton na Melanie Chisholm wakiwasili kwa onyesho la muziki la "Viva Forever!", linaloegemea muziki wa Spice Girls jijini London jana Desemba 11, 2012. (Picha: REUTERS)
Memba wa kundi la Spice Girls.
Mwimbaji wa zamani wa Spice Girls, Victoria Beckham akipozi kwa picha baada ya kuwasili kwenye  onyesho la muziki la "Viva Forever!", linaloegemea muziki wa Spice Girls jijini London jana Desemba 11, 2012. (Picha: REUTERS)
Hallo...!
Mwimbaji wa zamani wa Spice Girls, Victoria Beckham (wa tatu kushoto) akipozi kwa picha na mashabiki wake wakati akiwasili kwenye onyesho la muziki la "Viva Forever!", linalopiga muziki wa Spice Girls jijini London jana Desemba 11, 2012. (Picha: REUTERS)

No comments:

Post a Comment