Thursday, December 20, 2012

MECHI YA HISANI RONALDO NA RAFIKIZE v ZIDANE NA RAFIKIZE

Wachezaji Paulinho (kushoto), Ronaldo de Lima (wa pili kushoto), Zico (katikati), Bebeto (wa pili kulia) na Neymar wa timu ya Ronaldo na Rafikize wakishingilia goli dhidi ya timu ya Zidane na rafikize wakati wa mechi yao ya hisani iliyoitwa "Mechi Dhidi ya Umasiki" mjini Porto Alegre jana Desemba 19, 2012. Picha: REUTERS
Wachezaji wa timu ya Ronaldo na Rafikize na Zidane na Rafikize wakipozi kwa picha ya pamoja kabla ya mechi yao ya hisani iliyopewa jina la "Mechi Dhidi ya Poverty" mjini Porto Alegre jana Desemba 19, 2012. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment