Thursday, December 20, 2012

HABARI MBAYA ZA KOCHA TITO ZILIVYOPOKEWA BARCELONA

Wachezaji wa Barcelona, Carles Puyol, Xavi Hernandez, Andres Iniesta na Victor Valdes (waliokaa kutoka kushoto) wakisikiliza wakati wa mkutano na waandishi wa habari ulioandaliwa na rais wa Barcelona, Sandro Rosell, baada ya klabu hiyo kutangaza kuwa kocha Tito Vilanova amerejewa na ugonjwa saratani ya koo, jana. Vinara wa La Liga, Barcelona wametingishwa na taarifa kwamba kocha wao Vilanova atafanyiwa upasuaji leo, na atakuwa nje kwa wiki sita. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment