Wednesday, December 12, 2012

MAELFU WAFUNGA NDOA SAA 12:12:12 YA TAREHE 12.12.12

Watu wakisali kuomba amani wakati ilipotimu saa 12:12:12, katika hafla iliyoitwa "Light Meeting" mjini Tama, magharibi mwa Tokyo leo Desemba 12, 2012, wakiadhimisha siku ya mwisho kwenye karne hii ambayo namba za tarehe zinatokea zikiwa zimefanana. Picha: REUTERS

Wanandoa wapya na viongozi wa tempo wakipozi kwa picha ya pamoja wakati wa ndoa ya pamoja iliyoandaliwa kwa ajili ya kuiwahi tarehe 12.12.12 mjini Kuala Lumpur, Malysia leo Desemba 12, 2012. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment