Wednesday, December 26, 2012

CHRIS BROWN, RIHANNA WATOKA PAMOJA X-MASS KWENDA KUSHUHUDIA MECHI KALI LIGI YA MPIRA WA KIKAPU (NBA) KATI YA LOS ANGELES LAKERS YA KOBE BRAYANT NA KNICKS YA KINA CARMELO ANTHONY

Rihanna na Chriss Brown wakiwa beneti huku Rihanna akilaza kichwa chake kwa Brown wakati wakifuatilia mechi kali ya Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Marekani (NBA) kati ya New York Knicks na Los Angeles Lakers mjini Los Angeles, jana Desemba 25, 2012. Lakers ilishinda kwa pointi 100-94 (Picha: REUTERS).
Tuwarushe roho kidogo...! Wasanii nyota, Rihanna na Chriss Brown wakiwa beneti huku Rihanna akilaza kichwa chake kwa Brown wakati wakifuatilia mechi kali ya Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Marekani (NBA) kati ya New York Knicks na Los Angeles Lakers mjini Los Angeles, jana Desemba 25, 2012. Lakers ilishinda kwa pointi 100-94. (Picha: REUTERS).
Mie bado nakupenda...!
Hata mimi pia... watu wanajisemea tu, lakini ukweli ni kwamba nimekufa, nimeoza juu ya penzi lako!
Wanacheeeeeeeka...! Wasanii Chris Brown (kushoto) na Rihanna wakifurahi wakati wakiwa wameketi pamoja kushuhudia mechi kali ya Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu katia ya New York Knicks na Los Angeles Lakers mjini Los Angeles, jana  Desemba 25, 2012. Lakers ilishinda kwa pointi 100-94 (Picha: REUTERS)
Kwa raha zetu mwaya...!
Nipishe huko...! Kobe Bryant wa Los Angeles Lakers akimchunga Carmelo Anthony wa New York Knicks (kulia) wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Marekani (NBA),  jana Desemba 25, 2012. Lakers ilishinda kwa pointi 100-94(Picha: REUTERS)
Ronnie Brewer wa New York Knicks  (chini) akiomba "time out" huku akibanwa na Dwight Howard wa Los Angeles Lakers wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Marekani (NBA) mjini Los Angeles, Desemba 25, 2012. Lakers ilishinda kwa pointi 100-94. (Picha: REUTERS)
J.R. Smith wa New York Knicks (kulia) akimchezea faulo Kobe Bryant wa Los Angeles Lakers (kushoto) wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Marekani (NBA) mjini Los Angeles, Desemba 25, 2012. Lakers ilishinda kwa pointi 100-94. (Picha: REUTERS)
Kobe Bryant wa Los Angeles Lakers na mwenzake Steve Nash (kulia) wakishangilia baada ya Pau Gasol kufunga dhdi ya New York Knicks wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Mpira wa Kikapu Marekani (NBA),  jana Desemba 25, 2012. Lakers ilishinda kwa pointi 100-94(Picha: REUTERS)
Tusepe...! Chris Brown (mbele) na Rihanna wakitoka uwanjani baada ya kumalizika kwa mechi hiyo ambayo Kobe na wenzake wa Lakers  walishinda kwa pointi 100-94 dhidi ya Knicks jana Desemba 25, 2012..


No comments:

Post a Comment