Sunday, November 11, 2012

TAZAMA MAPICHA KIBAO YA HARUSI YA MTANGAZAJI GODFREY MONYO WA KITUO CHA TELEVISHENI CHA ITV NA LAAZIZI WAKE GADIOSA LAMTEY AMBAYE NI MWANDISHI WA GAZETI LA THE GUARDIAN... NI JUMAMOSI NOVEMBA 10, 2012 KWENYE KANISA LA MTAKATIFU PETRO HALAFU WATU WAKENDA KULA BATA WEEE HADI WAKASAZA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA..!

  Hatuachani tena mpaka kifo...! Bwana harusi Godfrey Monyo akiwa mwenye furaha na mkewe Gadiosa Lamtey kwenye Kanisa la Mt. Petro leo Jumamosi Novemba 10, 2012.
Kama ndoto vile...! Bi. harusi Gadiosa Lamtey (kulia) akiteta jambo na mumewe, Godfrey Monyo.
 Bwana harusi Godfrey Monyo akila kiapo
 Bibi harusi Gadiosa Lamtey akila kiapo 
 Pokea pete ya ndoa...!
Angalieni na mvitunze vyeti vyenu vya ndoa...!
Hongereni sana...! 'Bandungu' na jamaa 'bakitoa' pongezi
 
 Picha ya pamoja na wapambe
  Pozi la kumbukumbu ya wazazi na maharusi
  Maharusi wakiwa na furaha tele
Mahala pa mnuso wa sherehe ya harusi ya Monyo na mkewe Gadiosa kwenye bustani ya viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE: Kwa Hisani ya richard-mwaikenda.blogspot.com)
 

No comments:

Post a Comment