Wednesday, November 14, 2012

TAZAMA KIJEZI CHA KUCHEKESHA CHA TIMU YA ARGENTINA ALICHOKIANDAA SERGIO AGUERRO KWA MTOTO WA MESSI!

Zawadi ya kichanga chako...! Straika Sergio Aguerro wa Manchester City na timu ya taifa ya Argentina (kulia) akimkabidhi straika mwenzake Lionel Messi wa Argentina na klabu ya Barcelona, Lionel Messi  zawadi maalum ya jezi ya timu ya taifa lao kwa ajili ya mtoto wake wa kiume mwenye umri wa wiki mbili, Thiago Lionel Messi. Hapa ni katika chumba wanacholala wawili hawa pamoja wakiwa hotelini jijini Riyadh, Saudi Arabia ambako kesho (Novemba 14) watashukla dimbani kucheza mechi yao ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya wenyeji Saudia kwenye Uwanja wa Mfalme Fahd jijini Riyadh.

No comments:

Post a Comment