Wednesday, November 14, 2012

NAHODHA GERRARD AJIANDAA NA MECHI YAKE YA 100 LEO USIKU.... ZAHA NAYE AIPOTEZEA IVORY COAST AJICHANGANYA MAZOEZINI TIMU YA TAIFA ENGLAND

Kiungo wa timu ya taifa ya England, Steven Gerrard, akiwa amevaa kiatu cha kusherehekea mechi yake ya 100 kwa timu ya taifa, akipasha moto misuli mazoezini kwenye Uwanja wa Friends Arena mjini Stockholm jana Novemba 13, 2012. England wanajiandaa kucheza na Sweden katika mechi ya kimataifa ya kirafiki leo. Picha: REUTERS
Wilfried Zaha wa timu ya taifa ya England akiwa mazoezini kwenye Uwanja wa Friends Arena mjini Stockholm jana Novemba 13, 2012. England wanajiandaa kucheza na Sweden katika mechi ya kimataifa ya kirafiki leo. Picha: REUTERS

Nahodha wa timu ya taifa ya England, Steven Gerrard, akiwa na winga wa timu hiyo Raheem Sterling wakati wa mazoezi kwenye Uwanja wa Friends Arena mjini Stockholm jana Novemba 13, 2012. England wanajiandaa kucheza na Sweden katika mechi ya kimataifa ya kirafiki leo. Picha: REUTERS
Steven Gerrard akiwa mazoezini kwenye Uwanja wa Friends Arena mjini Stockholm jana Novemba 13, 2012. England wanajiandaa kucheza na Sweden katika mechi ya kimataifa ya kirafiki leo. Picha: REUTERS
Kocha wa timu ya taifa ya England, Roy Hodgson akizungumza na vyombo vya habari huku nahodha Steven Gerrard, akiwa amevaa pembeni kulia. Gerrard anatarajiwa kucheza mechi yake ya 100 kwa timu ya taifa kwenye Uwanja wa Friends Arena mjini Stockholm jana Novemba 13, 2012. England wanajiandaa kucheza na Sweden katika mechi ya kimataifa ya kirafiki leo. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment