Wednesday, November 14, 2012

BANDARI ILIPOISHUKIA JAMHURI LIGI KUU YA GRANDMALT Z'BAR

Fauzy Ali wa Bandari (kushoto) na Haisam Juma (wa pili kushoto) wakimdhibiti mshambuliaji Abdalla Othman Ali wa Jamhuri wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grandmalt ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar jana. Bandari ilishinda 2-1. Picha: Martin Kabemba
Beki wa Bandari Saleh Abdalla Nassor (kushoto) akijiandaa "kuosha" mpira mbele ya straika wa Jamhuri, Abdalla Othman Ali (kulia) wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grandmalt ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar jana. Bandari ilishinda 2-1. Picha: Martin Kabemba
Abdalla Othman Ali (kulia) wa timu ya Jamhuri akijaribu kumtoka Fauzy Ali wa Bandari (kushoto) wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grandmalt ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar jana. Bandari ilishinda 2-1. Picha: Martin Kabemba
Mbarouk Chande wa Jamhuri akijaribu kumpita Said Mussa wa Bandari (kushoto) wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grandmalt ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar jana. Bandari ilishinda 2-1. Picha: Martin Kabemba

No comments:

Post a Comment