Tuesday, November 13, 2012

MOURINHO AMTAKA YOSSO WILFRED ZAHA REAL MADRID

Wilfred Zaha
MADRID, Hispania
KOCHA wa Real Madrid, Jose Mourinho anamfukuzia yosso mwenye kipaji wa Crystal Palace, Wilfried Zaha na tayari ameitaka klabu yake izipiku Manchester United, Arsena na Liverpool ili kupata saini ya winga huyo.

Zaha (20), amejumuishwa katika kikosi cha timu ya taifa ya England kitakachocheza kesho mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Sweden mjini Stockholm.

Tottenham pia inamfukuzia yosso huyo aliyezaliwa nchini Ivory Coast

No comments:

Post a Comment