Friday, November 23, 2012

ETO'O, SAMBA WAIPAISHA ANZHI MAKHACKHALA LIGI YA EUROPA

Straika wa Anzhi Makhackhala, Samuel Eto'o akishangilia  baada ya kufunga goli wakati wa mechi yao ya Kundi A la Ligi ya Europa dhidi ya Udinese kwenye Uwanja wa Lokomotiv mjini Moscow, jana usiku Novemba 22, 2012. Anzhi walishinda 2-0. Picha: REUTERS

Beki wa Anzhi Makhackhala, Christopher Samba (kulia) akishangilia na mchezaji mwenzake Lacina Traore wakati wa mechi yao ya Kundi A la Ligi ya Europa dhidi ya Udinese kwenye Uwanja wa Lokomotiv mjini Moscow, jana usiku Novemba 22, 2012. Anzhi walishinda 2-0 magoli yakifungwa na Samuel Et'oo na Samba. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment