Friday, November 23, 2012

BENITEZ ALIPOKARIBISHWA KWENYE 'KITI MOTO' CHA DARAJANI

Kocha mpya wa muda wa Chelsea, Rafael Benitez akipozi kwa picha wakati wa mkutano na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Stamford Bridge mjini London jana Novemba 22, 2012. Benitez ana muda mfupi sana wa kujiandaa na kupanga namna ya kuondoa matatizo katika timu yake kabla ya kuwakabili vinara Manchester City wanaotua Stamford Bridge Jumapili kwa ajili ya mechi yao ya Ligi Kuu ya England. Kocha huyo wa zamani wa Liverpool, amepiwa ajira ya muda kufuatia kutimuliwa kwa Roberto di Matteo aliyeipa ubingwa wa kwanza wa Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya klabu hiyo ya London. Picha: REUTERS

Kocha mpya wa muda wa Chelsea, Rafael Benitez akipozi kwa picha wakati wa mkutano na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Stamford Bridge mjini London jana Novemba 22, 2012. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment