Thursday, November 8, 2012

EPIQ BSS KESHO KITAWAKA MOTO FAINALI DIAMOND JUBILEE....

Washiriki wa shindano la EBSS 2012 wakiwa pamoja na Jaji Mkuu wa EBSS 2012, Ritha Paulsen (kushoto) jana wakati wakijiandaa na shoo yao ya fainali itakayofanyika leo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee.

Washiriki wa shindano la EBSS 2012 wakiimba na Jaji Mkuu wa EBSS 2012, Ritha Paulsen (kushoto) jana wakati wakijiandaa na shoo yao ya fainali itakayofanyika leo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee.

Washiriki wa shindano la EBSS 2012 wakiwa pamoja na Jaji Mkuu wa EBSS 2012, Ritha Paulsen (kushoto) jana wakati wakijiandaa na shoo yao ya fainali itakayofanyika leo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee.

No comments:

Post a Comment