Friday, November 16, 2012

CHUONI ILIPOITAMBIA JAMHURI LIGI KUU YA GRAND MALT Z"BAR

 Emmanuel Albert wa Chuoni (kushoto) na mshambuliaji wa Jamhuri, Bakari Khamis Futo wakiwania mpira wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grandmalt ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar jana. Chuoni ilishinda bao 1-0. Picha: Intellectuals Communication LTD

Kipa Issa Ali Abdalla wa Chuoni akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Chuoni, Bakari Khamis Futo (No.19) wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grandmalt ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar jana. Chuoni ilishinda bao 1-0. Picha: Intellectuals Communication LTD

Beki wa Jamhuri, Hussein Rashid Khatibu (kulia) akijiandaa "kuosha" mpira mbele ya Emanuel Albert wa Chuoni (kushoto) wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grandmalt ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar jana. Chuoni ilishinda bao 1-0. Picha: Intellectuals Communication LTD
Emmanuel Albert wa Chuoni (kushoto) akiambaa na mpira huku akichungwa na Mohamed Othman Mmanga wa Jamhuri wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grandmalt ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar jana. Chuoni ilishinda bao 1-0. Picha: Intellectuals Communication LTD

Shaffi Hassan wa Jamhuri (kushoto) akiwania mpira dhidi ya Suleiman Ali Khatibu wa Chuoni  wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grandmalt ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar jana. Chuoni ilishinda bao 1-0. Picha: Intellectuals Communication LTD

No comments:

Post a Comment