Monday, November 5, 2012

BEKI AMIR MAFTAH WA SIMBA APATA JIKO

Tuishi milele...Amir na mkewe baada ya kufunga ndoa

Kifaa...! Mke wa beki wa Simba, Amir MaftahAmir Maftah na mkewe wakipata picha ya ukumbusho na Mboni Masimba Kim K - mtangazaji wa kipindi cha Mboni Show
Amir Maftah na mkewe (PICHA ZOTE:  Kwa Hisani ya Shaffihdauda.com) 

No comments:

Post a Comment