Wednesday, November 7, 2012

BABU MIAKA 101 ASHEREHEKEA MIAKA 88 YA NDOA NA MKEWE MWENYE MIAKA 103

Wu Conghan (101), na mkewe mwenye umri wa miaka 103 wakipozi kwa picha wakiwa wamevaa nguo za harusi nyumbani kwao katika kijiji cha Nanchong, Sichuan, Novemba 5, 2012. Wanandoa hao walipigwa picha kwa mara ya kwanza wakiwa wamevaa suti zao za harusi baada ya kudumu katika ndoa yao kwa miaka 88. Picha hii imepigwa juzi Novemba 5, 2012. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment