Friday, October 26, 2012

WAREMBO REDD'S MISS TANZANIA WALIPOTEMBELEA KIWANDA CHA TBL LEO

Mpishi wa Bia wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Godfrey Mgalula akitoa ufafanuzi kwa warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 kuhusu upishi wa bia mbali mbali zinazozalishwa kiwandani hapo wakati warembo hao walipofanya ziara rasmi ya kutembelea kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Ilala Mchikichini jijini Dar es Salaam leo.
Meneja wa Kinywaji cha Redd's Original, Victoria Kimaro akizungumza na warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 kabla vimwana hao hawajaanza ziara rasmi ya kutembelea kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Ilala Mchikichini jijini Dar es Salaam leo.

Injinia wa Masuala ya Umeme wa TBL, Elias Nyanda akiwaelezea mambo mbali mbali warembo wa Redd's Miss Tanzania 2012 wakati warembo hao walipofanya ziara rasmi ya kutembelea kiwanda cha Bia Tanzania (TBL), Ilala Mchikichini jijini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment