Friday, October 26, 2012

MAFUNZO YAINGIZWA CHUONI LIGI KUU YA GRANDMALT ZANZIBAR

Kipa Mohamed Yussuf wa timu ya Chuoni akiokoa hatari wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya soka ya Grandmalt dhidi ya Mafunzo kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar leo. Chuoni ilishinda 3-0.
Mshambuliaji wa timu ya Chuoni, Jaku Joma akimtoka mlinzi wa Mafunzo, Shaffi Hassan, wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya soka ya Grandmalt kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar leo. Chuoni ilishinda 3-0.

No comments:

Post a Comment