Saturday, October 13, 2012

WAREMBO REDDS MISS TANZANIA 2012 WATEMBELEA KIWANDA CHA TBL ARUSHA

Afisa Usalama mahali pa kazi wa Kampuni ya Bia Tanzania Tawi la TBL Arusha, Heavy Kasena akiwapa maelezo ya shughuli mbalimbali zinazofanywa na Kiwanda cha TBL mjini Arusha warembo wa wanaowania taji la Redds

Washiriki wa shindano la Redd's Miss Tanzania 2012 wakipita katika maeneo mbalimbali ya kiwanda cha Bia cha TBL mjini Arusha wakati walipofanya ziara maalum. Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea Vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.

Washiriki wa shindano la Redd's Miss Tanzania 2012, wakicheza muziki aina ya Kwaito mara baada ya kumaliza ziara yao ya kutembelea Kiwanda cha TBL cha mjini Arusha jana. Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.

Mshiriki wa shindano la Redd's Miss Tanzania 2012, Mary Chizi akicheza mchezo wa pool dhidi ya timu ya TBL Arusha. Warembo hao jana walitembelea kiwanda hicho cha Bia cha TBL mjini Arusha wakati walipofanya ziara maalum. Warembo hao wapo Mikoa ya Kanda ya Kaskazini kutembelea vivutio vya utalii na kuhamasisha utalii wa ndani nchini.

No comments:

Post a Comment