Friday, October 5, 2012

THE BOSS RICKY ROZAY TAYARI YUKO NDANI YA BONGO...AMETUA KILIMANJARO.


Picha zikionyesha maandalizi ya jukwaa atakalotumbuiza Rick Ross kesho... Picha zote: http://www.globalpublishers.info/

RAPA anayetawala dunia, Rick Ross a.k.a Rozay a.k.a Boss amewasili nchini tayari baada ya kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro.

Bosi wa lebo ya kurekodi muziki ya Maybach Music, Ross atakuwa "main man" katika tamasha kubwa la Fiesta 2012 kwenye viwanja vya Leaders Club kesho akiwa sambamba na wakali kibao unaowajua wa kizazi kipya nchini.

No comments:

Post a Comment