Sunday, October 21, 2012

MASHINDANO YA KUPIGA KASIA YA BALIMI YALIVYOFANA ZIWA TANGANYIKA

Timu ya Katonga A ambao ni mabingwa wa mkoa wa Kigoma wakimaliza mashindano ya kupiga makasia ya Bia ya Balimi yaliyofanyika kwenye Ziwa Tanganyika na kushirikisha vikundi mbalimbali vya mkoa huo. Kwa upande wa wanawake, timu ya Upendo ilishinda. Picha: Intellectuals Communications Ltd
Meneja wa Kinywaji cha Bia ya Balimi, Edith Bebwa akizungumza na Meneja wa Mauzo wa TBL Kanda ya Shinyanga, Kigoma, Robert Kazinz
Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, Ramadhani Maneno akianzisha mashindano hayo ya mitumbwi ya Balimi
Timu ya kinamama iliyoshinda mashindano ya kupiga kasia katika mashindano ya Balimi, ambayo kila timu ilikua na watu watano
Mmoja wa washindi akipongezwa

No comments:

Post a Comment