Friday, October 26, 2012

DK. SHEIN ALIPOHUTUBIA BARAZA LA IDD ZANZIBAR LEO

Rais wa Zanzibar, Dk.Shein akipokea saluti kutoka kikosi cha askari muda mfupi kabla ya kuhutubia Baraza la Idd El Haj kwenye ukumbi wa Salama mjini Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza jambo na Rais mstaafu Dk. Aman Abeid Karume baada ya Rais kuhutubia Baraza la Idd El Haj kwenye ukumbi wa Salama mjini Zanzibar leo.

No comments:

Post a Comment