Friday, October 12, 2012

KMKM YAIPIGA MTENDE 2-1 LIGI KUU YA GRANDMALT ZANZIBAR

Hekaheka kwenye lango la timu ya KMKM wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grand Malt ya Zanzibar dhidi ya Mtende kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar jana. KMKM ilishinda 2-1.

Kipa wa KMKM, Ali Abdi akidaka mpira wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grand Malt ya Zanzibar dhidi ya Mtende kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar jana. KMKM ilishinda 2-1.

Ali Manzi (No.11) wa timu ya Mtende na Aziz Aziz (No.13) wa timu ya KMKM wakichuana wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar jana. KMKM ilishinda 2-1.

Aziz Aziz (kushoto) wa KMKM na Moses Peter wa Mtende wakiwania mpira wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar jana. KMKM ilishinda 2-1. Picha: Martin Kabemba

No comments:

Post a Comment