Monday, October 22, 2012

HUYU PAKA VIPI UWANJANI ARGENTINA?

Paka akikimbia uwanjani wakati wa mechi ya Ligi Kuu ya Argentine kati ya Boca Juniors na Estudiantes de La Plata mjini Buenos Aires, jana Oktoba 21, 2012.
Picha: Reuters

No comments:

Post a Comment