Hamis Said wa Bwiru Sekondari akiruka juu na kupachika kikapu wakati wa fainali ya michuano ya mpira wa kikapu kwa shule za sekondari mkoa wa Mwanza. Fainali hizo zilifanyika mwishoni mwa wiki kwenye Uwanja wa CCM Kirumba kwa udhamini wa kampuni ya Coca-Cola kupitia kinywaji chake cha Sprite. Bwiru Sekondari ilishinda kwa pointi 17-12. |
No comments:
Post a Comment