Monday, September 24, 2012

EUGENE NDIYE REDD'S MISS KANDA YA ZIWA 2012

Mshindi wa Redds Miss Lake Zone 2012/13, Eugene Fabian (katikati) kutoka Mara akifurahi baada ya kutangazwa rasmi kunyakua taji hilo pamoja mshindi wa pili Happiness Daniel (kushoto) kutoka Mwanza na  Tatu Happiness Rweyemamu (kulia) kutoka Shinyanga. Washindi hawa watatu watawakilisha Kanda ya ziwa katika shindano la taifa linalotarajiwa kufanyika baadaye mwezi ujao. Mshindi wa kwanza ameondoka na zawadi ya Sh. 700,000, wa pili Sh. 500,000 na wa tatu Sh. 450,000. Picha: Intellectuals Communications Limited

 Mshindi wa Redds Miss Lake zone 2012/13, Eugene Fabian (katikati) kutoka Mara akifurahi baada ya kutangazwa rasmi kunyakua taji hilo pamoja mshindi wa pili Happiness Daniel (kushoto) kutoka Mwanza na  Tatu Happiness Rweyemamu (kulia) kutoka Shinyanga. Washindi hawa watatu watawakilisha Kanda ya ziwa katika shindano la taifa linalotarajiwa kufanyika baadaye mwezi ujao. Mshindi wa kwanza ameondoka na zawadi ya Sh. 700,000, wa pili Sh. 500,000 na wa tatu Sh. 450,000. Picha: Intellectuals Communications LimitedNo comments:

Post a Comment