Monday, September 24, 2012

BANDARI ILIPOUA KMKM LIGI KUU YA GRANDMALT ZANZIBAR

Mshambuliaji wa KMKM, Kasim Nemshi (kushoto) akiwatoka walinzi wa Bandari wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar juzi. Bandari ilishinda mabao 2-1. Picha zote: Intellectuals Communications Limited
Mshambuliaji wa KMKM (kushoto) akimtoka mlinzi wa Bandari wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar juzi. Bandari ilishinda mabao 2-1.
Mshambuliaji wa KMKM, Kasim Nemshi akipiga shuti kuelekea lango la Bandari wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar juzi. Bandari ilishinda mabao 2-1.
Mshambuliaji wa KMKM, Maulid Ibrahim (kushoto) akijaribu kumpita Kassim Hariri wa Bandari wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya Grand Malt ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan Zanzibar juzi. Bandari ilishinda mabao 2-1.

No comments:

Post a Comment