Tuesday, August 28, 2012

TAZAMA MAPICHA YA MREMBO KIM KARDASHIAN AKIWA UFUKWENI WIKIENDI...!

Mambo? Kim Kardashian akiwa kwenye fukwe za Miami Kusini wikiendi iliyopita. 
Cheki mbinuko huo... shabaaash! Hapa Kim Kardashian akijifua kimtindo wakati akiwa kwenye fukwe za Miami Kusini wikiendi iliyopita.

Ni umbo namba ngapi? Ssshhh... usiwape jibu! Hapa Kim Kardashian akiendelea kufaidi mandhari safi za South Miami Beach wikiendi iliyopita.
Makidamakida... Kim Kardashian akipasha viungo kwa kurukaruka pembezoni mwa South Miami Beach wikiendi iliyopita. Hebu mcheki vizuri... mtamu eeenh?  

Kim Kardashian... hapa mrembo wa wenyewe anaendelea kujifua pembezoni mwa fukwe za Miami wikiendi iliyopita.
Hi sweetie...! Hapa Kim Kardashian akiwa na mahabuba wake kwa sasa, msanii Kanye West.
MIAMI, Marekani
Nyota wa vipindi vya maisha halisi ya televisheni, Kim Kardashian, aliwaacha hoi wanaume 'wakware' baada ya kuanikwa kwa mapicha yanayomuonyesha akijiachia kivyake kwenye fukwe za kusini mwa Miami huku akiwa amevalia bikini tu!

Nyota huyo mwenye umbile la kuvutia na sura yenye mvuto, ameonekana Miami Beach wikiendi iliyopita akiwa na shosti wake Jonathan Cheban na kusisimua "mijanaume" kibao kwa namna alivyopendeza na kivazi chake cha bikini ya vipande viwili vya rangi nyeusi na ya machungwa.

Si unamuona katika hayo mapicha hapo juu? Ila kwa taarifa yako ni kwamba mrembo huyu bado "anatoka" na msanii milionea, Kanye West... tena unaambiwa kwa huyo msh'kaji, Kim hageuzi hata chembe... HAKI YA NANI VILE!!

No comments:

Post a Comment