Thursday, August 23, 2012

NYOTA NBA ATUA, KUENDESHA KLINIKI YA KIKAPU NA HASHEEM THABEET DARMtanzania anayecheza katika ligi ya mpira wa kikapu ya NBA ya Marekani, Hasheem Thabeet (kulia) akizungumza na wanahabari baada ya kumpokea mchezaji wa mchezo huo katika timu ya Chicago Bulls, Loul Deng, kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwa ajili ya kliniki ya mpira wa kikapu ya siku mbili itakayodhaminiwa na Sprite.


Mtanzania anayecheza katika ligi ya mpira wa kikapu ya NBA ya Marekani, Hasheem Thabeet (kulia) akizungumza na wanahabari baada ya kumpokea mchezaji wa mchezo huo katika timu ya Chicago Bulls, Loul Deng, kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwa ajili ya kliniki ya mpira wa kikapu ya siku mbili itakayodhaminiwa na Sprite.

Mchezaji wa mpira wa kikapu kutoka ligi ya NBA ya Marekani Loul Deng, akiongea na wanahabari muda mfupi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Julius Nyerere kwa ajili ya kliniki ya siku mbili itakayofanyika Don Bosco, Upanga jijini Dar es Salaam chini ya udhamini wa Kampuni ya Coca-Cola kupitia kinywaji chake cha Sprite. Pamoja naye ni Hasheem Thabeet.

Mchezaji wa mpira wa kikapu kutoka ligi ya NBA ya Marekani Loul Deng, akiongea na wanahabari muda mfupi baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere kwa ajili ya kliniki ya siku mbili itakayofanyika Don Bosco, Upanga jijini Dar es Salaam chini ya udhamini wa Kampuni ya Coca-Cola kupitia kinywaji chake cha Sprite. Pamoja naye ni Hasheem Thabeet.

No comments:

Post a Comment