Wednesday, August 29, 2012

KINYWAJI KIPYA KISICHO NA KILEVI CHA MALTIZA KILIVYOZINDULIWA MWANZA

Mmoja wa mabalozi wa kinywaji kipya cha Maltiza, Blandina Constatine (kulia) akitambusha kinywaji hicho kisicho na kilevi kinachozalishwa na kampuni ya bia (TBL) wakati wa uzinduzi uliofanyika kwenye kiwanja cha Safisha jijini Mwanza. Wanaoshuhudia ni baadhi ya wadau wa jiji la Mwanza waliohudhuria uzinduzi huo. Picha: Intellectuals Communications Limited
Kundi la shoo la Wasafi Classic 'Hatupendi Dharau' likipagawisha mashabiki wakati wa uzinduzi wa kinywaji kipya kisicho na kilevi cha Maltiza kinachozalishwa na kampuni ya bia (TBL) kwenye kiwanja cha Safisha jijini Mwanza. Kutoka kushoto ni K Lover, Mama Mchomoko na kulia ni Mc Goma. Picha: Intellectuals Communications Limited

Wasanii wa kundi la sanaa la Africa Bams wakibeba mfano wa kopo la kinywaji kipya cha Maltiza wakati wa uzinduzi wa kinywaji hicho kipya kisicho na kilevi kinachozalishwa na kampuni ya bia (TBL) kwenye kiwanja cha Safisha jijini Mwanza. Picha: Intellectuals Communications Limited

Sehemu ya wananchi wakionja kwa furaha kubwa ladha ya kinywaji cha kisicho na kilevi cha Maltiza kinachozalishwa na kampuni ya bia (TBL) kwenye kiwanja cha Safisha jijini Mwanza. Picha: Intellectuals Communications Limited
Wasanii wa kundi la Africa Bams kutoka Mwanza wakiinua kinywaji kipya cha Maltiza muda mfupi baada ya uzinduzi wa kinywaji hicho kisicho na kilevi kinachozalishwa na kampuni ya bia (TBL) kwenye kiwanja cha Safisha jijini Mwanza. Picha: Intellectuals Communications Limited


No comments:

Post a Comment