Thursday, August 23, 2012

KINYWAJI KIPYA CHA MALTIZA KILIVYOTAMBULISHWA COCO BEACH

Msanii chipukizi wa kundi TMK Wanaume, Dogo Asley akishambulia jukwaa wakati wa Tamasha la Familia katika siku ya Idd Pili lililoandaliwa na vinywaji vya Grandmalt, Vita Malt na kinywaji kipya cha Maltiza kwenye fukwe ya Coco jijini Dar es Salaam. Picha: Hisani ya Intellectuals Communications Limited
Msanii wa hip hop, Roma Mkatoliki akifanya vitu vyake wakati wa Tamasha la Familia katika siku ya Idd Pili lililoandaliwa na vinywaji vya Grandmalt, Vita Malt na kinywaji kipya cha Maltiza kwenye fukwe ya Coco jijini Dar Es Salaam. Picha: Hisani ya Intellectuals Communications Limited

Wasanii wa kundi la TMK Wanaume Family wakiongozwa na Mh Temba na Chege wakilishambulia jukwaa wakati wa Tamasha la Familia katika siku ya Idd Pili lililoandaliwa na vinywaji vya Grandmalt, Vita Malt na kinywaji kipya cha Maltiza kwenye fukwe ya Coco jijini Dar Es Salaam. Picha: Hisani ya Intellectuals Communications Limited

Umati wa mashabiki uliofurika katika Tamasha la Familia katika siku ya Idd Pili lililoandaliwa na vinywaji vya Grandmalt, Vita Malt na kinywaji kipya cha Maltiza kwenye fukwe ya Coco jijini Dar Es Salaam. Picha: Hisani ya Intellectuals Communications Limited

No comments:

Post a Comment