Thursday, August 23, 2012

CHELSEA YAZINDUKA KUTOKA NYUMA YAUA 4-2, HAZARD "HAFAI, HAFAI", TORRES ATUPIA LA OFFSIDE

Straika wa Chelsea, Fernando Torres akifunga bao dhidi ya Reading wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya England kwenye Uwanja wa Stamford Bridge mjini London jana usiku Agosti 22, 2012. Licha ya kufunga goli hilo la tatu la timu yake akiwa ameotea, lilihesabiwa. Chelsea ambao walienda mapumziko wakiwa nyuma kwa mabao 2-1, walizinduka na kushinda 4-2. Picha: REUTERS

Straika wa Chelsea, Fernando Torres akishangilia bao lake dhidi ya Reading wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya England kwenye Uwanja wa Stamford Bridge mjini London jana usiku Agosti 22, 2012. Licha ya kufunga goli hilo la tatu la timu yake akiwa ameotea, lilihesabiwa. Chelsea ambao walienda mapumziko wakiwa nyuma kwa mabao 2-1, walizinduka na kushinda 4-2. Picha: REUTERS

Kipa wa Chelsea, Petr Cech akifungwa goli la kizembe baada ya kushindwa kudaka mpira wa 'fri-kiki' iliyopigwa na Danny Guthrie wa Reading wakati wa mechi yao ya Ligi Kuu ya England kwenye Uwanja wa Stamford Bridge mjini London jana usiku Agosti 22, 2012. Chelsea ambao walienda mapumziko wakiwa nyuma kwa mabao 2-1, walizinduka na kushinda 4-2. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment