Tuesday, August 14, 2012

JEMBE LA ARSENAL CAZORLA LAITWA TENA TAIFA HISPANIA

Nyota mpya wa Arsenal na "Gunner" wa zamani wanapokutana...  Wachezaji wa timu ya taifa ya Hispania, Santi Cazorla (kulia) na Cesc Fabregas wakizungumza katika mkutano na waandishi wa habari mjini Carolina, jana Agosti 13, 2012. Timu hiyo itacheza mechi ya kirafiki dhidi ya Puerto Rico Islanders kesho. Picha: REUTERS

No comments:

Post a Comment